sw_tn/jer/21/13.md

490 B

Mimi ni juu yako, mwamba wa bahari

"Ninakupinga, Yerusalemu" au "Nitawaadhibu, watu wa Yerusalemu"

hili ni tamko la Bwana

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.

'Ni nani atashuka kutupiga?...Ni nani atakayeingia kwenye nyumba zetu?

"Hakuna yeyote atushambulia na hakuna mtu atakayeingia nyumba zetu"

Nitawaadhibu kutokana na matunda ya matendo yako

"Nitakudhibu kama unavyostahiki kwa sababu ya mambo uliyoyatenda"

matokeo ya matendo yako

"matokeo ya matendo yako"