sw_tn/jer/21/13.md

20 lines
490 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mimi ni juu yako, mwamba wa bahari
"Ninakupinga, Yerusalemu" au "Nitawaadhibu, watu wa Yerusalemu"
# hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# 'Ni nani atashuka kutupiga?...Ni nani atakayeingia kwenye nyumba zetu?
"Hakuna yeyote atushambulia na hakuna mtu atakayeingia nyumba zetu"
# Nitawaadhibu kutokana na matunda ya matendo yako
"Nitakudhibu kama unavyostahiki kwa sababu ya mambo uliyoyatenda"
# matokeo ya matendo yako
"matokeo ya matendo yako"