# Mimi ni juu yako, mwamba wa bahari "Ninakupinga, Yerusalemu" au "Nitawaadhibu, watu wa Yerusalemu" # hili ni tamko la Bwana Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7. # 'Ni nani atashuka kutupiga?...Ni nani atakayeingia kwenye nyumba zetu? "Hakuna yeyote atushambulia na hakuna mtu atakayeingia nyumba zetu" # Nitawaadhibu kutokana na matunda ya matendo yako "Nitakudhibu kama unavyostahiki kwa sababu ya mambo uliyoyatenda" # matokeo ya matendo yako "matokeo ya matendo yako"