sw_tn/jer/21/11.md

16 lines
411 B
Markdown

# Kuhusu nyumba ya mfalme wa Yuda, sikiliza neno la Bwana
"Sikiliza yale Bwana asema juu ya mfalme wa Yuda, familia yake, na watumishi wake."
# Hukumuni kwa haki asubuhi
"Daima uwatendee watu ambao unatawala juu ya haki"
# mkono wa mwenye kuonea
"nguvu ya yule anaonea"
# "Nitawaadhibu na kuharibu katika ghadhabu yangu haraka na kabisa"
"Nitawaadhibu na kuharibu katika ghadhabu yangu haraka na kabisa"