# Kuhusu nyumba ya mfalme wa Yuda, sikiliza neno la Bwana "Sikiliza yale Bwana asema juu ya mfalme wa Yuda, familia yake, na watumishi wake." # Hukumuni kwa haki asubuhi "Daima uwatendee watu ambao unatawala juu ya haki" # mkono wa mwenye kuonea "nguvu ya yule anaonea" # "Nitawaadhibu na kuharibu katika ghadhabu yangu haraka na kabisa" "Nitawaadhibu na kuharibu katika ghadhabu yangu haraka na kabisa"