sw_tn/jer/21/11.md

411 B

Kuhusu nyumba ya mfalme wa Yuda, sikiliza neno la Bwana

"Sikiliza yale Bwana asema juu ya mfalme wa Yuda, familia yake, na watumishi wake."

Hukumuni kwa haki asubuhi

"Daima uwatendee watu ambao unatawala juu ya haki"

mkono wa mwenye kuonea

"nguvu ya yule anaonea"

"Nitawaadhibu na kuharibu katika ghadhabu yangu haraka na kabisa"

"Nitawaadhibu na kuharibu katika ghadhabu yangu haraka na kabisa"