sw_tn/jer/21/03.md

403 B

vyombo vya vita vilivyo mkononi mwenu

"askari unaowaamuru"

kukufunga

"kuja karibu na wewe"

kwa mkono ulioinua na mkono wenye nguvu

Maneno haya yote ni maneno ya kiidioma ambayo yanataja nguvu kubwa. AT "na nguvu kubwa sana."

ukali, ghadhabu, na hasira kubwa

Maneno haya yote yanamaanisha kimsingi kitu kimoja. Pamoja wanasisitiza ukubwa mkubwa wa hasira yake. AT "kwa hasira kubwa sana."