sw_tn/jer/21/03.md

16 lines
403 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# vyombo vya vita vilivyo mkononi mwenu
"askari unaowaamuru"
# kukufunga
"kuja karibu na wewe"
# kwa mkono ulioinua na mkono wenye nguvu
Maneno haya yote ni maneno ya kiidioma ambayo yanataja nguvu kubwa. AT "na nguvu kubwa sana."
# ukali, ghadhabu, na hasira kubwa
Maneno haya yote yanamaanisha kimsingi kitu kimoja. Pamoja wanasisitiza ukubwa mkubwa wa hasira yake. AT "kwa hasira kubwa sana."