# vyombo vya vita vilivyo mkononi mwenu "askari unaowaamuru" # kukufunga "kuja karibu na wewe" # kwa mkono ulioinua na mkono wenye nguvu Maneno haya yote ni maneno ya kiidioma ambayo yanataja nguvu kubwa. AT "na nguvu kubwa sana." # ukali, ghadhabu, na hasira kubwa Maneno haya yote yanamaanisha kimsingi kitu kimoja. Pamoja wanasisitiza ukubwa mkubwa wa hasira yake. AT "kwa hasira kubwa sana."