sw_tn/jer/21/01.md

289 B

Taarifa za jumla

Angalia

Pashuri

Hii sio Pashuri ambae ameetajwa katika 20:1

Pata ushauri kutoka kwa Bwana kwa ajili yetu

"Tafadhali sema na Bwana kwa ajili yetu. Mwambie kama atatusaidia "

kama zamani

"kama alivyofanya zamani"

kumfanya aondoke kwetu

"atamfanya aende"