# Taarifa za jumla Angalia # Pashuri Hii sio Pashuri ambae ameetajwa katika 20:1 # Pata ushauri kutoka kwa Bwana kwa ajili yetu "Tafadhali sema na Bwana kwa ajili yetu. Mwambie kama atatusaidia " # kama zamani "kama alivyofanya zamani" # kumfanya aondoke kwetu "atamfanya aende"