sw_tn/jer/21/01.md

20 lines
289 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Angalia
# Pashuri
Hii sio Pashuri ambae ameetajwa katika 20:1
# Pata ushauri kutoka kwa Bwana kwa ajili yetu
"Tafadhali sema na Bwana kwa ajili yetu. Mwambie kama atatusaidia "
# kama zamani
"kama alivyofanya zamani"
# kumfanya aondoke kwetu
"atamfanya aende"