sw_tn/jer/20/14.md

16 lines
303 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Yeremia anaendelea kuzungumza na Bwana.
# Na ilaaniwe siku niliyozaliwa
"Laana siku nilipozaliwa"
# Usiruhusu siku ambayo mama yangu alinizaa ibarikiwe
"Usiibariki siku ambayo mama yangu alinizaa."
# Na alaaniwe mtu aliyemwambia baba yangu
"Mlaani mtu aliyemwambia baba yangu"