# Taarifa za jumla Yeremia anaendelea kuzungumza na Bwana. # Na ilaaniwe siku niliyozaliwa "Laana siku nilipozaliwa" # Usiruhusu siku ambayo mama yangu alinizaa ibarikiwe "Usiibariki siku ambayo mama yangu alinizaa." # Na alaaniwe mtu aliyemwambia baba yangu "Mlaani mtu aliyemwambia baba yangu"