sw_tn/jer/20/14.md

303 B

Taarifa za jumla

Yeremia anaendelea kuzungumza na Bwana.

Na ilaaniwe siku niliyozaliwa

"Laana siku nilipozaliwa"

Usiruhusu siku ambayo mama yangu alinizaa ibarikiwe

"Usiibariki siku ambayo mama yangu alinizaa."

Na alaaniwe mtu aliyemwambia baba yangu

"Mlaani mtu aliyemwambia baba yangu"