sw_tn/jer/20/03.md

24 lines
540 B
Markdown

# Ikawa
Kifungu hiki kinatumiwa hapa kuonyeshwa ambapo hatua huanza. Ikiwa lugha yako ina njia ya kufanya hivyo, unaweza kufikiria kuitumia hapa.
# wewe ni Magor-Misabibu
Jina hili linamaanisha "hofu kwa kila upande" au "kuzungukwa na hofu."
# Tazama
"Jihadharini na kile nitakachokuambia"
# wataanguka kwa upanga wa adui zao
"adui zao watawaua kwa mapanga"
# macho yako yataona
"utaiona"
# Nitawatia Yuda mkononi mwa mfalme wa Babeli
Hapa neno "mkono" linamaanisha nguvu. AT "Nitamuwezesha mfalme wa Babeli kuishinda Yuda wote"