sw_tn/jer/20/03.md

540 B

Ikawa

Kifungu hiki kinatumiwa hapa kuonyeshwa ambapo hatua huanza. Ikiwa lugha yako ina njia ya kufanya hivyo, unaweza kufikiria kuitumia hapa.

wewe ni Magor-Misabibu

Jina hili linamaanisha "hofu kwa kila upande" au "kuzungukwa na hofu."

Tazama

"Jihadharini na kile nitakachokuambia"

wataanguka kwa upanga wa adui zao

"adui zao watawaua kwa mapanga"

macho yako yataona

"utaiona"

Nitawatia Yuda mkononi mwa mfalme wa Babeli

Hapa neno "mkono" linamaanisha nguvu. AT "Nitamuwezesha mfalme wa Babeli kuishinda Yuda wote"