# Ikawa Kifungu hiki kinatumiwa hapa kuonyeshwa ambapo hatua huanza. Ikiwa lugha yako ina njia ya kufanya hivyo, unaweza kufikiria kuitumia hapa. # wewe ni Magor-Misabibu Jina hili linamaanisha "hofu kwa kila upande" au "kuzungukwa na hofu." # Tazama "Jihadharini na kile nitakachokuambia" # wataanguka kwa upanga wa adui zao "adui zao watawaua kwa mapanga" # macho yako yataona "utaiona" # Nitawatia Yuda mkononi mwa mfalme wa Babeli Hapa neno "mkono" linamaanisha nguvu. AT "Nitamuwezesha mfalme wa Babeli kuishinda Yuda wote"