sw_tn/jer/18/15.md

574 B

mashaka katika njia zao

Hapa neno "yao" linamaanisha "watu wangu."

itakuwa ya hofu

"itakuwa kitu ambacho kinatisha watu"

kupiga kelele

Hii ni sauti inayoonyesha kukataa kwa nguvu.

atakayepita karibu naye

Hapa neno "yake" linamaanisha "Nchi yao."

Nitawaangamiza mbele ya adui zao kama upepo wa mashariki.

Bwana anajilinganisha na upepo kutoka mashariki ambayo hugawa majivu na uchafu.

Nitawaangamiza

Hapa neno "yao" linamaanisha "watu wangu."

Nitawageuzia kisogo, wala sio uso wangu

Hatua hii inaashiria kwamba Mungu atakataa kuwasaidia watu wake.