sw_tn/jer/18/15.md

28 lines
574 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mashaka katika njia zao
Hapa neno "yao" linamaanisha "watu wangu."
# itakuwa ya hofu
"itakuwa kitu ambacho kinatisha watu"
# kupiga kelele
Hii ni sauti inayoonyesha kukataa kwa nguvu.
# atakayepita karibu naye
Hapa neno "yake" linamaanisha "Nchi yao."
# Nitawaangamiza mbele ya adui zao kama upepo wa mashariki.
Bwana anajilinganisha na upepo kutoka mashariki ambayo hugawa majivu na uchafu.
# Nitawaangamiza
Hapa neno "yao" linamaanisha "watu wangu."
# Nitawageuzia kisogo, wala sio uso wangu
Hatua hii inaashiria kwamba Mungu atakataa kuwasaidia watu wake.