# mashaka katika njia zao Hapa neno "yao" linamaanisha "watu wangu." # itakuwa ya hofu "itakuwa kitu ambacho kinatisha watu" # kupiga kelele Hii ni sauti inayoonyesha kukataa kwa nguvu. # atakayepita karibu naye Hapa neno "yake" linamaanisha "Nchi yao." # Nitawaangamiza mbele ya adui zao kama upepo wa mashariki. Bwana anajilinganisha na upepo kutoka mashariki ambayo hugawa majivu na uchafu. # Nitawaangamiza Hapa neno "yao" linamaanisha "watu wangu." # Nitawageuzia kisogo, wala sio uso wangu Hatua hii inaashiria kwamba Mungu atakataa kuwasaidia watu wake.