sw_tn/jer/18/05.md

32 lines
871 B
Markdown

# neno la Bwana lilikuja
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.
# Je, siwezi kuwa kama huyu mfinyanzi kwenu, nyumba ya Israeli?
Kwa swali hili, Bwana anasisitiza mamlaka yake ya kufanya kama yeye apendezwavyo na Israeli. AT "Naruhusiwa kutenda kwako, nyumba ya Israeli, kama mfinyanzi anafanyavyo juu ya udongo"
# hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.
# Angalia
Neno "kuona" hapa linaongeza mkazo kwa ifuatavyo. AT "Hakika!"
# Kama udongo katika mkono wa mfinyanzi-ndivyo ulivyo mkononi mwangu
Kifungu hiki kinarudia kile kilichoingizwa katika maneno ya awali kwa namna ya mfano.
# ninaweza kutangaza jambo
"labda mimi kutangaza kitu" au "kwa mfano, mimi kutangaza kitu"
# kuuvunja, au kuuharibu
Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza jinsi hukumu ya Mungu itaharibika.
# nitaondoka
"kuzuia" "kuacha"