sw_tn/jer/18/05.md

871 B

neno la Bwana lilikuja

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.

Je, siwezi kuwa kama huyu mfinyanzi kwenu, nyumba ya Israeli?

Kwa swali hili, Bwana anasisitiza mamlaka yake ya kufanya kama yeye apendezwavyo na Israeli. AT "Naruhusiwa kutenda kwako, nyumba ya Israeli, kama mfinyanzi anafanyavyo juu ya udongo"

hili ni tamko la Bwana

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.

Angalia

Neno "kuona" hapa linaongeza mkazo kwa ifuatavyo. AT "Hakika!"

Kama udongo katika mkono wa mfinyanzi-ndivyo ulivyo mkononi mwangu

Kifungu hiki kinarudia kile kilichoingizwa katika maneno ya awali kwa namna ya mfano.

ninaweza kutangaza jambo

"labda mimi kutangaza kitu" au "kwa mfano, mimi kutangaza kitu"

kuuvunja, au kuuharibu

Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza jinsi hukumu ya Mungu itaharibika.

nitaondoka

"kuzuia" "kuacha"