|
# kwa ajili ya maisha yenu
|
|
|
|
"kulinda maisha yako" au "ikiwa unathamini maisha yako"
|
|
|
|
# Hawakusikiliza wala kutaega masikio yao
|
|
|
|
Maneno haya mawili yanamaanisha jambo sawa na kusisitiza kuwa watu walikataa kusikiliza. AT "Walikataa kusikiliza" au "Walikataa kutii."
|