# kwa ajili ya maisha yenu "kulinda maisha yako" au "ikiwa unathamini maisha yako" # Hawakusikiliza wala kutaega masikio yao Maneno haya mawili yanamaanisha jambo sawa na kusisitiza kuwa watu walikataa kusikiliza. AT "Walikataa kusikiliza" au "Walikataa kutii."