sw_tn/jer/17/21.md

265 B

kwa ajili ya maisha yenu

"kulinda maisha yako" au "ikiwa unathamini maisha yako"

Hawakusikiliza wala kutaega masikio yao

Maneno haya mawili yanamaanisha jambo sawa na kusisitiza kuwa watu walikataa kusikiliza. AT "Walikataa kusikiliza" au "Walikataa kutii."