sw_tn/jer/17/17.md

501 B

siku ya msiba

"Siku" inawakilisha muda wa hukumu ya Mungu kufanyika. AT "wakati wa msiba"

Waaibike watu wanaoniudhi, lakini nisiaibike mimi

"Kuniitia aibu juu ya wafuasi wangu, lakini usinitie aibu"

Watafadhaika, lakini usiache nifadhaike

Kifungu hiki kimamaanisha kimsingi kitu kimoja na kilichopita na kinatumika kwa msisitizo. AT "Kuwafanya wawe na hofu sana, lakini usinifanye kuwa hofu"

kuwaangamiza maradufu

"kuwaangamiza kwa uharibifu kamili" au "kuwaangamiza mara mbili zaidi"