# siku ya msiba "Siku" inawakilisha muda wa hukumu ya Mungu kufanyika. AT "wakati wa msiba" # Waaibike watu wanaoniudhi, lakini nisiaibike mimi "Kuniitia aibu juu ya wafuasi wangu, lakini usinitie aibu" # Watafadhaika, lakini usiache nifadhaike Kifungu hiki kimamaanisha kimsingi kitu kimoja na kilichopita na kinatumika kwa msisitizo. AT "Kuwafanya wawe na hofu sana, lakini usinifanye kuwa hofu" # kuwaangamiza maradufu "kuwaangamiza kwa uharibifu kamili" au "kuwaangamiza mara mbili zaidi"