sw_tn/jer/17/17.md

16 lines
501 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siku ya msiba
"Siku" inawakilisha muda wa hukumu ya Mungu kufanyika. AT "wakati wa msiba"
# Waaibike watu wanaoniudhi, lakini nisiaibike mimi
"Kuniitia aibu juu ya wafuasi wangu, lakini usinitie aibu"
# Watafadhaika, lakini usiache nifadhaike
Kifungu hiki kimamaanisha kimsingi kitu kimoja na kilichopita na kinatumika kwa msisitizo. AT "Kuwafanya wawe na hofu sana, lakini usinifanye kuwa hofu"
# kuwaangamiza maradufu
"kuwaangamiza kwa uharibifu kamili" au "kuwaangamiza mara mbili zaidi"