sw_tn/jer/17/03.md

520 B

mali yako yote pamoja na hazina zako zote

Maneno "mali" na "hazina" yanamaanisha kitu kimoja na kutaja kitu chochote ambacho wanaona kuwa cha thamani.

nyara

Hii inahusu mambo ambayo watu huiba au kuchukua kwa nguvu.

dhambi iliyo katika maeneo yako yote

"umetenda kila mahali"

urithi

Hii inahusu nchi ya Israeli.

umewasha moto katika ghadhabu yangu, ambao utakawaka milele

Bwana anafananisha hukumu yake na moto unaoharibu. AT "kwa kunifanya niwe mwenye hasira, ni kama umeanza moto ambao utakuunguza"