sw_tn/jer/17/03.md

20 lines
520 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mali yako yote pamoja na hazina zako zote
Maneno "mali" na "hazina" yanamaanisha kitu kimoja na kutaja kitu chochote ambacho wanaona kuwa cha thamani.
# nyara
Hii inahusu mambo ambayo watu huiba au kuchukua kwa nguvu.
# dhambi iliyo katika maeneo yako yote
"umetenda kila mahali"
# urithi
Hii inahusu nchi ya Israeli.
# umewasha moto katika ghadhabu yangu, ambao utakawaka milele
Bwana anafananisha hukumu yake na moto unaoharibu. AT "kwa kunifanya niwe mwenye hasira, ni kama umeanza moto ambao utakuunguza"