sw_tn/jer/16/14.md

16 lines
272 B
Markdown

# Tazama
Neno "kuona" hapa linaongeza mkazo kwa kifuatacho. AT "kweli"
# hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# ambapo hawatasema tena
"wakati watu hawatasema tena"
# Kama Bwana aishivyo
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 12:16.