sw_tn/jer/16/14.md

272 B

Tazama

Neno "kuona" hapa linaongeza mkazo kwa kifuatacho. AT "kweli"

hili ni tamko la Bwana

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.

ambapo hawatasema tena

"wakati watu hawatasema tena"

Kama Bwana aishivyo

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 12:16.