# Tazama Neno "kuona" hapa linaongeza mkazo kwa kifuatacho. AT "kweli" # hili ni tamko la Bwana Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7. # ambapo hawatasema tena "wakati watu hawatasema tena" # Kama Bwana aishivyo Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 12:16.