sw_tn/jer/15/19.md

32 lines
900 B
Markdown

# utakuwa kama kinywa changu
Yeremia anafananishwa na kinywa cha Bwana kwa sababu atatumiwa kuzungumza ujumbe wa Yahweh. AT "utasema kwa ajili yangu"
# wewe mwenyewe
Kitaja, "mwenyewe", kinatumiwa hapa ili kusisitiza amri ilikuwa hasa kwa Yeremia.
# kama ukuta wa shaba usiowezekana kwa watu hawa
Bwana anafananisha Yeremia na ukuta kwa sababu watu hawawezi kumshinda.
# watapigana vita dhidi yako. Lakini hawatakushinda
"Watapigana nawe, lakini hawatakushinda."
# kuokoa......kuwaokoa
Maneno "kuokoa" na "kuwaokoa" yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza usalama ambao Mungu anaahidi.
# hili ndilo tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 7.
# kukuokoa kutoka ... na kukukomboa kutoka
Maneno haya yana maana sawa na hutumiwa pamoja ili kusisitiza usalama ambao Mungu hutoa.
# mshindani
mtawala ambaye anadai utii kamili na si wa kirafiki kwa watu chini ya utawala wake