# utakuwa kama kinywa changu Yeremia anafananishwa na kinywa cha Bwana kwa sababu atatumiwa kuzungumza ujumbe wa Yahweh. AT "utasema kwa ajili yangu" # wewe mwenyewe Kitaja, "mwenyewe", kinatumiwa hapa ili kusisitiza amri ilikuwa hasa kwa Yeremia. # kama ukuta wa shaba usiowezekana kwa watu hawa Bwana anafananisha Yeremia na ukuta kwa sababu watu hawawezi kumshinda. # watapigana vita dhidi yako. Lakini hawatakushinda "Watapigana nawe, lakini hawatakushinda." # kuokoa......kuwaokoa Maneno "kuokoa" na "kuwaokoa" yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza usalama ambao Mungu anaahidi. # hili ndilo tamko la Bwana Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 7. # kukuokoa kutoka ... na kukukomboa kutoka Maneno haya yana maana sawa na hutumiwa pamoja ili kusisitiza usalama ambao Mungu hutoa. # mshindani mtawala ambaye anadai utii kamili na si wa kirafiki kwa watu chini ya utawala wake