sw_tn/jer/14/01.md

16 lines
339 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Bwana, kupitia nabii Yeremia, anazungumzia kuhusu uzinzi wa watu.
# neno la Bwana lililomjia
"ujumbe ambao Mungu alizungumza na" Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.
# kuanguka mbali
"kuanguka vipande vipande"
# Kilio chao kwa Yerusalemu kimepaa juu
"Wanatoa wito kwa sauti kubwa kwa ajili ya Yerusalemu"