sw_tn/jer/14/01.md

339 B

Taarifa ya jumla

Bwana, kupitia nabii Yeremia, anazungumzia kuhusu uzinzi wa watu.

neno la Bwana lililomjia

"ujumbe ambao Mungu alizungumza na" Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.

kuanguka mbali

"kuanguka vipande vipande"

Kilio chao kwa Yerusalemu kimepaa juu

"Wanatoa wito kwa sauti kubwa kwa ajili ya Yerusalemu"