# Taarifa ya jumla Bwana, kupitia nabii Yeremia, anazungumzia kuhusu uzinzi wa watu. # neno la Bwana lililomjia "ujumbe ambao Mungu alizungumza na" Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1. # kuanguka mbali "kuanguka vipande vipande" # Kilio chao kwa Yerusalemu kimepaa juu "Wanatoa wito kwa sauti kubwa kwa ajili ya Yerusalemu"