sw_tn/jer/13/25.md

20 lines
438 B
Markdown

# Hii ndiyo niliyokupa, sehemu ambayo nimekuagiza kwako
"Hivi ndivyo ninavyokufanya kutokea kwako"
# hili ndilo tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# imi mwenyewe nitaondoa nguo zako, na sehemu zako za siri zitaonekana.
"Nitafunua uovu wako."
# ubembe
Hii ni sauti ya farasi wa kiume anayetaka farasi wa kike. AT "tamaa."
# Je! Hili litaendelea kwa muda gani
Je, itakuwa muda gani kabla ya kusafisha tena