sw_tn/jer/13/25.md

438 B

Hii ndiyo niliyokupa, sehemu ambayo nimekuagiza kwako

"Hivi ndivyo ninavyokufanya kutokea kwako"

hili ndilo tamko la Bwana

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.

imi mwenyewe nitaondoa nguo zako, na sehemu zako za siri zitaonekana.

"Nitafunua uovu wako."

ubembe

Hii ni sauti ya farasi wa kiume anayetaka farasi wa kike. AT "tamaa."

Je! Hili litaendelea kwa muda gani

Je, itakuwa muda gani kabla ya kusafisha tena