# Hii ndiyo niliyokupa, sehemu ambayo nimekuagiza kwako "Hivi ndivyo ninavyokufanya kutokea kwako" # hili ndilo tamko la Bwana Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7. # imi mwenyewe nitaondoa nguo zako, na sehemu zako za siri zitaonekana. "Nitafunua uovu wako." # ubembe Hii ni sauti ya farasi wa kiume anayetaka farasi wa kike. AT "tamaa." # Je! Hili litaendelea kwa muda gani Je, itakuwa muda gani kabla ya kusafisha tena