sw_tn/jer/13/01.md

20 lines
353 B
Markdown

# kitani
aina ya nguo nzuri sana
# nguo
nguo ambazo watu huvaa chini ya nguo zao; chupi
# kiuno
sehemu ya kati ya mwili, kwa kawaida nyembamba, kati ya mapaja na kifua
# neno la Bwana lilifika kwa
Tazama jinsi ilivyotafasiri hii katika 1:1.
# mwamba wa jabali
nafasi kati ya miamba au ufa katika mwamba, kubwa ya kutosha kuweka kitu ndani yake