sw_tn/jer/13/01.md

353 B

kitani

aina ya nguo nzuri sana

nguo

nguo ambazo watu huvaa chini ya nguo zao; chupi

kiuno

sehemu ya kati ya mwili, kwa kawaida nyembamba, kati ya mapaja na kifua

neno la Bwana lilifika kwa

Tazama jinsi ilivyotafasiri hii katika 1:1.

mwamba wa jabali

nafasi kati ya miamba au ufa katika mwamba, kubwa ya kutosha kuweka kitu ndani yake