# kitani aina ya nguo nzuri sana # nguo nguo ambazo watu huvaa chini ya nguo zao; chupi # kiuno sehemu ya kati ya mwili, kwa kawaida nyembamba, kati ya mapaja na kifua # neno la Bwana lilifika kwa Tazama jinsi ilivyotafasiri hii katika 1:1. # mwamba wa jabali nafasi kati ya miamba au ufa katika mwamba, kubwa ya kutosha kuweka kitu ndani yake