sw_tn/jer/12/14.md

24 lines
423 B
Markdown

# wanaopiga
kushambulia na kukamata
# aliwafanya watu wangu wa Israeli wamiliki
"aliwapa watu wangu Israeli kama warithi"
# kuamgamiza
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 9.
# nami nitainua nyumba ya Yuda kutoka kati yao
kuruhusu watu wa Yuda kuondoka nchi zao za adui na kurudi kwa Yuda
# futa
au "kupoteza"
# Ninataangamiza mataifa hayo
"nawafanya mataifa hayo kutoka nchi zao na kuhamia maeneo tofauti"