# wanaopiga kushambulia na kukamata # aliwafanya watu wangu wa Israeli wamiliki "aliwapa watu wangu Israeli kama warithi" # kuamgamiza Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 9. # nami nitainua nyumba ya Yuda kutoka kati yao kuruhusu watu wa Yuda kuondoka nchi zao za adui na kurudi kwa Yuda # futa au "kupoteza" # Ninataangamiza mataifa hayo "nawafanya mataifa hayo kutoka nchi zao na kuhamia maeneo tofauti"