sw_tn/jer/12/07.md

12 lines
403 B
Markdown

# Nimeiacha nyumba yangu; Nimeacha urithi wangu. Nimewatia watu wangu wapendwa mikononi mwa adui zake.
Sentensi hizi tatu zina maana sawa. Kwanza na ya pili huimarisha mawazo ya tatu. (Angalia "Ulinganifu) "Nimewaacha adui za watu wangu kuwashinda."
# hiena
aina ya mbwa kutoka Asia na Afrika ambayo inakula mwili wa wanyama waliokufa
# ndege wa mawindo
ndege ambazo wanashambulia na kula wanyama