sw_tn/jer/10/23.md

12 lines
353 B
Markdown

# Mwaga hasira zako kwa mataifa
"Waadhibu vikali watu wa mataifa"
# wamemla Yakobo na kumwangamiza kabisa na kuyafanya makao yake kuwa ukiwa
Neno "kumla" na "kumwangamiza" yanamaanisha kitu kilekile yanayomaanisha "kumwangamiza kabisa" Tametumika kuonesha uharibifumkubwa kwa Israeli.
# kuyafanya makao yake kuwa ukiwa
"kuharibu nchi ambayo hukaa"