# Mwaga hasira zako kwa mataifa "Waadhibu vikali watu wa mataifa" # wamemla Yakobo na kumwangamiza kabisa na kuyafanya makao yake kuwa ukiwa Neno "kumla" na "kumwangamiza" yanamaanisha kitu kilekile yanayomaanisha "kumwangamiza kabisa" Tametumika kuonesha uharibifumkubwa kwa Israeli. # kuyafanya makao yake kuwa ukiwa "kuharibu nchi ambayo hukaa"